Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,275
- 2,060
Hizo ni aina mbili tofauti mkuu.Air cooler mattress DSP 5L /Orient 30L?
Sijawahi liona/Lisikia, naomba uweke Picha yake hapa tupate pa kuanzia kwani nimecheki hapa sokoni Quanzou na sijaliona
😹😹😹 Kataja vitu viwili tofautiAir cooler mattress DSP 5L /Orient 30L?
Sijawahi liona/Lisikia, naomba uweke Picha yake hapa tupate pa kuanzia kwani nimecheki hapa sokoni Quanzou na sijaliona
oooh ok, Got yah😹😹😹 Kataja vitu viwili tofauti
Yah atapataoooh ok, Got yah
Sasa magodoro si yapo kila mahala mijini na Air cooler kwa miji mikubwa zipo....