His Eminence
Senior Member
- Sep 22, 2024
- 123
- 376
Inategemea anataka machine ya GPX ngapi
We unapatikana wapiHabari za jioni,kwa wale wenzangu wa sekta ya madini natafuta sana Mtu atakeyekuwa na uwezo na kufanya joint venture anisaidie Detector aina ya MINELAB GPX 6000,kwa ajili ya kazi za kutafuta Madini.
Eneo nililopo linamzigo wa nuggets wa kutosha changamoto vipimo vinavyotumika uwezo mdogo kama gold fisher ambazo zinaishia kudetect gold zile ndogo mwisho 30cm.
Kama Ipo nyumbani imekaa tafadhali tuwasiliane..
His Eminence pesa yako tu hapoGpx 6000 inakwenda 14,500,000/
Ova
Mtoa mada ameweka wazi kabisa kuwa ni GPX 6000, halafu bado eti wauliza "inategemea anataka GPX ngapi..."Inategemea anataka machine ya GPX ngapi
Machine zipo wquzaji wapo yeye tu...
Ova
Unataka kumpiga mshikaji kizembe sana ....Gpx 6000 inakwenda 14,500,000/
Ova
HahahaMtoa mada ameweka wazi kabisa kuwa ni GPX 6000, halafu bado eti wauliza "inategemea anataka GPX ngapi..."
Punguza ujuaji
Hiyo itakuwa cdc, inachukua dhahabu ndogo lakini haizamiiiUnataka kumpiga mshikaji kizembe sana ....
Pale Lwazole Dealers karibu na NMB Shinyanga Mjini wanauza kuanzia 7 mpaka 8 million.
Nabhuwezi kupata gpx 6000 kwa bei labda iliyotumikaaa ya mkononi...aende hapo ulipo muelekeza akioata gpx 6000 arudi humu ....Unataka kumpiga mshikaji kizembe sana ....
Pale Lwazole Dealers karibu na NMB Shinyanga Mjini wanauza kuanzia 7 mpaka 8 million.
Ndg yangu ashante sana kwa USHAURI,kikubwa ninatafuta mdhamini wa hiyo detector,eneo lipo na vikole vipo...Hiyo itakuwa cdc, inachukua dhahabu ndogo lakini haizamiii
Mimi namtajia brand za kutoka Australia ,akitaka za mseleleko mchina katoa nyingi tu ila mbeleni atalia
Na mimi ni mjuaji sana maana hiyo field ndipo nipo mimi...
Tatizo watoto humu jf ujuaji mwingi ndomana wazee wa kazi tumeamua kuwakaliaa kimyaa
No kutoa mitonyo humu siku hizi
Ova
Kama doma, moro usipeleke machine huko watu wamepeleka machine zaidi ya 100 na juzi kati hapa watu wamevuaaa dhahabu balaa yaani wamepiga hela ya maanaNdg yangu ashante sana kwa USHAURI,kikubwa ninatafuta mdhamini wa hiyo detector,eneo lipo na vikole vipo...
shukrani sana, tayari nimekuPMKama doma, moro usipeleke machine huko watu wamepeleka machine zaidi ya 100 na juzi kati hapa watu wamevuaaa dhahabu balaa yaani wamepiga hela ya maana
Tunduru napo nasikiaa kuna mahali kuna mliooo mm mwenyewe nishatumqma majajusi wangu huko
Mimi kikazi nafanya lindi sahv
Wee ni pm niambie eneo hilo ni wapi tuone namna ya kufanya kama machine ya kukodi utapata
Si makubaliano,natumai unajuwa namna gani makubaliano ya machine inakuwaje..
Mm natumia gpx 5000 tu ...
Ova
kukua ni nafsi siyo umri....Uliingiaje kwenye madini
Umejibu ninikukua ni nafsi siyo umri....