wakutafuta
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 239
- 211
Ngoja niupdate Ram tu niendelee kuitumia hivyo hivyo asante kwa ushauriAbaki tu na vega 11.
Maana me nimetumia iko vyema sana game zote anacheza kwa 1080p medium settings.
Sema kama ulivyosema ram tu iwe gb 16.
Me imesukama fc24. Cyberpunk 2077. Call of duty black ops cold war. God of war tomb raider zote na far cry 6.
Ram zenye speed mkuu waije kupiga 2100mhz ramAsante Sana. ngoja nianze na Ram
Nauliza je naweza nikaweka GPU yenye umbo kubwa kwenye desktop ya SFF hatakama mfuniko hautafunga je itakubali kufanya kaziHakuna Highend gpu yenye umbo dogo, ikishakua highend jua itakua kubwa na mafeni ya kutosha. Gpu kama rx 590 hutapata low profile, na gpu zote ulizo taja ni za kizamani zitakua mtumba hupati mpya.
Pia gpu kibongo bongo kwa uelewa wangu hakuna duka linalouza kwa reasonable price ni mpaka uagizishie nje.
Kama upo tayari kulipa hela yoyote Capricon mjini wana gpu za kutosha.
Hakuna Highend gpu yenye umbo dogo, ikishakua highend jua itakua kubwa na mafeni ya kutosha. Gpu kama rx 590 hutapata low profile, na gpu zote ulizo taja ni za kizamani zitakua mtumba hupati mpya.
Pia gpu kibongo bongo kwa uelewa wangu hakuna duka linalouza kwa reasonable price ni mpaka uagizishie nje.
Kama upo tayari kulipa hela yoyote Capricon mjini wana gpu za kutosha.
Sawa mkuu kwa hiyo Ram itatakiwa iwe na MHz kanzia ngapi? Itakuwa vizuri kama kuna muuzaji unaemjua uka ni recommend maana haya mambo ukienda kichwa kichwa unapigwa za uso.Ram zenye speed mkuu waije kupiga 2100mhz ram
Issue sio mfuniko tu, unaweza uka mod case na kuweka gpu yenye umbo kubwa, unatakiwa uwe na psu yenye uwezo wa kuendesha hio gpu, Rx 590 inakula 175W ina maana angalau psu iwe na dedicated 8 pin connector, je psu yako inayo? Kama hamna nahitaji kubadilisha psu na pengine motherboard ili ku accommodate hio Gpu.Nauliza je naweza nikaweka GPU yenye umbo kubwa kwenye desktop ya SFF hatakama mfuniko hautafunga je itakubali kufanya kazi
Official recommendation ya HP ni 2933mhz kama una Ile mid tower case, kama ni kile kidogo kinacho tumia ram za Laptop ni 2600mhz.Sawa mkuu kwa hiyo Ram itatakiwa iwe na MHz kanzia ngapi? Itakuwa vizuri kama kuna muuzaji unaemjua uka ni recommend maana haya mambo ukienda kichwa kichwa unapigwa za uso.
🙏 shukrani MkuuOfficial recommendation ya HP ni 2933mhz kama una Ile mid tower case, kama ni kile kidogo kinacho tumia ram za Laptop ni 2600mhz.
Pia zinatakiwa ziwe dual chanell, mfano unataka kuweka 16GB ram, basi unatakiwa ununue ram mbili za same brand, same frequency, kama Kingston 8GB 2600mhz ziwe mbili ili upate 16GB dual chanell.
Aliexpress kama 70,000 unapata 8GBx2.
Mashine yangu ni HP prodesk 600 g3 core i5-7400 nichekie hiyo PSU kama itatoshanaIssue sio mfuniko tu, unaweza uka mod case na kuweka gpu yenye umbo kubwa, unatakiwa uwe na psu yenye uwezo wa kuendesha hio gpu, Rx 590 inakula 175W ina maana angalau psu iwe na dedicated 8 pin connector, je psu yako inayo? Kama hamna nahitaji kubadilisha psu na pengine motherboard ili ku accommodate hio Gpu.
Haitoshi mkuu, hio ni Oem pc, inakubali tu LP GPU.Mashine yangu ni HP prodesk 600 g3 core i5-7400 nichekie hiyo PSU kama itatoshana