Nahitaji Greater Thinkers wa kunipa shauri

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Habari za humu wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji Greater Thinkers waje inbox ili wanipe ushauri kwasababu nikitoa uzi hapa wengi wanaona kama utani vile

Ipi kozi nzuri kati ya hizi

1.Record management
2.Information and Technology
3.Procuirement Supply management
4.Community development
 
Ungeweka tu hapa watu wakajimwaga kukushauri
Nawe ukachukua ushauri wa watu ambao unaona unafaaa kwako
 
Kaa na matatizo yako mkuu,kipimo cha u grreater thinker unanikijuaje pm?Basi ungewapm mjadili.
 
Fungua id mpya uombe ushauri kama unaogopa kuomba kwa id hio..

Halafu ungespecify maada maana hakuna mtu ambaye yupo perfect kwenye kila kitu..
Kama ni ushauri wa kidaktari watu tuje pm fasta au kama ni ushauri wa kimapenzi wakina gudume waje ..
Au kama ni mambo ya uchawi na matunguli mshana aje..
 
nimewahi seat unasemaje kijana ila huko inbox ndio hawataona in utani?
 
Kama kuna watu nisiowaaamini asilimia 100 ni wewe aisee. Michango yako tu inadhihirisha wewe ni nani, wadau kuweni makini na huyu dada ni wale wanakusanya taarifa za watu wa kuwapelekea kunakojulikana.
 
Hahaha ma GREAT THINKER wanajukwaa lao wafuate kule.
 
Kama kuna watu nisiowaaamini asilimia 100 ni wewe aisee. Michango yako tu inadhihirisha wewe ni nani, wadau kuweni makini na huyu dada ni wale wanakusanya taarifa za watu wa kuwapelekea kunakojulikana.
Mimi nina mpango wa kuoa mke anayefanya shughuli kama hizo. Ngoja nkayajenge pm na huyo bidada.
 
Mimi nina mpango wa kuoa mke anayefanya shughuli kama hizo. Ngoja nkayajenge pm na huyo bidada.
Kinyume kwa kunakojulikana kutakuhusu. Safari njema mkuu, usitusumbue kukutafta.
 
Soma tena nimeshaweka
 
Kama kuna watu nisiowaaamini asilimia 100 ni wewe aisee. Michango yako tu inadhihirisha wewe ni nani, wadau kuweni makini na huyu dada ni wale wanakusanya taarifa za watu wa kuwapelekea kunakojulikana.
Soma tena nimeshaweka
 
Nakushauri 2 au tatu sana sana IT ukishindwa procurement hizo nyingine achana nazo naongeaa nikiwa najuaa ninachoongeaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…