Scoob102
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 318
- 387
Nahitaj vitunguu maji vilivyokauka vizuri kwa ajili ya kusafirisha.
Kwa sasa nitachukua gunia/net 110 ila ikifika nitarudia ingine. So nahitaj wale wenye kulima kitunguu ya kutosha na sio wa gunia 10 kumi. Kitunguu iwe ya hiv karibu na iwe na rangi nyekundu nzuri.
Sehemu ilipo iwe inapitika vzr kwa Tandam na kusiwe na milima tatizo.
Dalali usipandishe bei tafadhali, nitakulipa pesa yako ya udalali bila shida yoyote.