Nahitaji GX 110 Grand iliyotumika, kwa bajeti ya TZS 3,000,000

ndiomimi

New Member
Joined
Mar 1, 2022
Posts
2
Reaction score
1
1646330363120.png

Habari JFers
Natumai nyote muwazima.
Ninapatikana DAR ES SALAAM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua Toyota GX 110 Grand iliyotumika kutoka kwa MMILIKI ( na si dalali). Bajeti yangu ni TZS 3,000,000 tu.
Sizingatii namba ya gari, nitakachozingatia ni GARI KUWA KATIKA HALI NZURI.
Nikiwa kama fundi mkongwe, nitahitaji mmiliki awe tayari kunipa nafasi ya kuikagua gari yake kabla ya mauziano.

Kwa mwenye nayo, anaweza ku-share picha nami kupitia WhatsApp No +255 719 518 367
AHSANTE
 
TOYOTA CRESTA (GX 100) & Toyota Grande Mark II hizi ni gari mbili tofauti.
 
Kama ni fundi kweli labda unaweza kupata japo kwa shida sana.

Ila Mark II tena taa za wanja kwa 3m? Labda namba A.
 
View attachment 2137816

Habari JFers
Natumai nyote muwazima.
Ninapatikana DAR ES SALAAM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua Toyota GX 110 Grand iliyotumika kutoka kwa MMILIKI ( na si dalali). Bajeti yangu ni TZS 3,000,000 tu.
Sizingatii namba ya gari, nitakachozingatia ni GARI KUWA KATIKA HALI NZURI.
Nikiwa kama fundi mkongwe, nitahitaji mmiliki awe tayari kunipa nafasi ya kuikagua gari yake kabla ya mauziano.

Kwa mwenye nayo, anaweza ku-share picha nami kupitia WhatsApp No +255 719 518 367
AHSANTE
Ongeza 1.2m upate chuma ipo imetulia
 
ipo hii inataka milioni 4 net take home and drive
Screenshot_20220304-101532.png
 
Gx 110 iko bomba sana
full Ac
engine bms 2000
bei imepoa, 4mil
0713096076
Screenshot_20220304-101819.png
Screenshot_20220304-101807.png
Screenshot_20220304-101756.png
Screenshot_20220304-101532.png
 
Back
Top Bottom