Amekuambia GX 110 na si GX 100TOYOTA CRESTA (GX 100) & Toyota Grande Mark II hizi ni gari mbili tofauti.
Tofauti ya hizi gari mbili ni nini kwanza tukiachana na muonekano? msaada tafadhariAmekuambia GX 110 na si GX 100
Ongeza 1.2m upate chuma ipo imetuliaView attachment 2137816
Habari JFers
Natumai nyote muwazima.
Ninapatikana DAR ES SALAAM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua Toyota GX 110 Grand iliyotumika kutoka kwa MMILIKI ( na si dalali). Bajeti yangu ni TZS 3,000,000 tu.
Sizingatii namba ya gari, nitakachozingatia ni GARI KUWA KATIKA HALI NZURI.
Nikiwa kama fundi mkongwe, nitahitaji mmiliki awe tayari kunipa nafasi ya kuikagua gari yake kabla ya mauziano.
Kwa mwenye nayo, anaweza ku-share picha nami kupitia WhatsApp No +255 719 518 367
AHSANTE
ipo hii inataka milioni 4 net take home and driveView attachment 2137816
Habari JFers
Natumai nyote muwazima.
Ninapatikana DAR ES SALAAM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua Toyota GX 110 Grand iliyotumika kutoka kwa MMILIKI ( na si dalali). Bajeti yangu ni TZS 3,000,000 tu.
Sizingatii namba ya gari, nitakachozingatia ni GARI KUWA KATIKA HALI NZURI.
Nikiwa kama fundi mkongwe, nitahitaji mmiliki awe tayari kunipa nafasi ya kuikagua gari yake kabla ya mauziano.
Kwa mwenye nayo, anaweza ku-share picha nami kupitia WhatsApp No +255 719 518 367
AHSANTE
Get Rich.ipo hii inataka milioni 4 net take home and drive
View attachment 2138204
Wewe bwege nini?TOYOTA CRESTA (GX 100) & Toyota Grande Mark II hizi ni gari mbili tofauti.