Wakuu nahitaji msaada wa CURRICULAR za masomo yafuatayo:
1. Certificate in Accountancy (CA)
2. Certificate in Human Resource Management
3. Certificate in Nursery School (Education) teaching
zenye kutumika Tanzania.
Nazihitaji mapema iwezekanavyo. Ntashukuru kwa msaada wa aina yoyote utakaotolewa.