mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
hujaeleweka mizigo ukubwa gani?clearing agent au shipping agent?kuna vijana hapo zanzibar huwa unawakabidhi mzigo,unawalipa wanakuambia dar umone nani siku gani kisha unachukua cargo yako.kumbuka kuna ushuru au unataka kwa njia zetu zileeeee?

anaejua kampuni ya usafirishaji mizigo
kutoka zanzibar kwenda dsm kampuni hiyo wawe waaminifu
hraka tafadhari
asante
sa kwa nni uende hadi bagamoyo? ni kinumenyume sana, na watakuwa wanjia za panya na mimi sitaki panya wezikuna jamaa hawa wazuri wanaitwa S.M.RASHID INV LTD wana mtandao mkubwa hebu jaribu kuwatafuta piga namba hii uwafahamishe ni mzigo gani na unakwenda wapi. wanaweza kukupitishia bandari ya dar au bagamoyo within 24 hours unakabidhiwa mzigo jaribu namba hizi 0773 373891 au 0714 229040 ukifanikiwa nipe feedback
sa kwa nni uende hadi bagamoyo? ni kinumenyume sana, na watakuwa wanjia za panya na mimi sitaki panya wezi