Ndo maana nikataja maeneo niliyoenda ,tandika na karume ndo sehemu nilizoenda na hakuna helment na ndo sehemu wanaposhusha baiskel za mtumba ,kama ni kariakoo nielekeze tafdhaliVifaa hivyo huku Tandahimba vipo kwa wingi ije kuwa Dar unasaka na tochi? Uko serious kweli, unaogopa kwenda Kariakoo?
Ndo maana nikataja maeneo niliyoenda ,tandika na karume ndo sehemu nilizoenda na hakuna helment na ndo sehemu wanaposhusha baiskel za mtumba ,kama ni kariakoo nielekeze tafdhali