muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Kwa specifications zako basi bei yako iko chiniWakuu salama,
Nahitaji Toyota Hiace kwa ajili ya Biashara.
Ofa yangu Tsh. 16,000,000/=.
Iwe nzima na ambayo haijatumika muda mrefu wala kuchokonolewa na mafundi uchwala.
Manual & diesel.
Iwe imetembea chini ya km 200,000.
Kutumika na kusajiliwa Tanzania isizidi mwaka 1.
Kama ni ya zamani basi tutaangalia hali yake.
Inahitajika haraka.
Kama unayo comment au inbox.
Unayo mkuu tufanye business? Price can be discussed!Kwa specifications zako basi bei yako iko chini
Toyota chini ya 200,000 Km,iliyotumika mwaka mmoja upate kwa 16m...nadhani ungetangaza kuwa unahitaji Toyota iliyo na hizo Specification harafu ukiona ubora au mapungufu unataja bei utakayolipa ila kwa mazingira uliyoyaweka ngoja nijifunze kwako...