Car4Sale Nahitaji Hiace

Car4Sale Nahitaji Hiace

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
642
Reaction score
420
Hiace inahitajika, singalii namba ila body iwe nzuri, ndani kuwe safi sio show imekatika katika, siti zimenyofoka nk, kiufupi iwe na muonekano bora, Injini iwe 3L au 1RZ, ujanja ujanja hauwezi kusaidia, bajeti yangu haizidi Mil.13
 
Mil.13 hiace!!! Mkuu unatakakununua ugonjwa. Ongezea pesa yako ununue hiace yenye afya. Hiace ya 13mil itakuwa katika hali mbaya sana, keep my words.
 
Mkuu. Ntarudi bdae kukupa maarifa. Kuliko kununua chuma chakavu ongeza milioni nne uagize Nissan Caravan toka Japan uzeeke nayo. Ntakuchagulia gari bdae.
=====================================================
BE FORWARD : 1997 NISSAN Caravan Van
BE FORWARD : 2001 NISSAN Caravan Van
BE FORWARD : 1996 NISSAN Caravan Van

van.png
 
Back
Top Bottom