Hii alikuepo nayo jamaa mmoja Songea, inapiga mziki ni balaaa, mie najua ni yamtumba au! Dukani cjawah ziona
Sent using Jamii Forums mobile app
AmazonMtandao gani huo mkuu tafadhali nitajie jina .
Japo hii bei imenitisha kidogo maana $99 naona km ndogo sana kwa hiki kisipika ambacho ni og.
Sent using Jamii Forums mobile app
ungemwekea link