Habari wana JF,
Natafuta siagi za karanga, parachichi, kahawa, embe, shea butter, Sea moss, Bentonite Clay. Brown sugar, wheat etc
Pia natafuta (Not oils)
Rose water, Aloe Vera(organic)
Alcoholic - Free Witch Hazel na Sodium Lactate
N:B nimeweka attachments ya bidhaa zingne hapo chini.
Njoo inbox kama unazo
View attachment 1792031View attachment 1792032
Bei gan, njoo dmBentonite clay na kahawa vinapatikana
Mkuu hiyo ses moss ni kitu gani ?Bado unataka sea moss na bentonite clay? Ninazo za kutosha. 100% natural and organic.