Nahitaji hizi Simu

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2007
Posts
1,407
Reaction score
161
Katika pita pita zangu kwenye mtandao nimekutana na hii link hapa chini








na





ambayo unajishughulisha na uzaaji wa vifaa mbali mbali zikiwemo simu kwa bei ya chini sana ambayo sina uakika kama ni kweli au ni utapeli tu...Wadau wa JF naomba mcheck huu mtandao then mniambia kama nina weza kufanya nao biashara. nitashukuru sana kwa maelezo yanu.
 
Mkuu,asante kwa kunitaarifu nimekutana na ujumbe huu "Notice: it is not the original, made in China. it has no WIFI.can`t work on 3G net

"
 
Full Chinese mkuu, yani hapo haina kuuliza, bei zenyewe mpaka unacheka.

Vitu genuine hivi hapa:



Tembelea http://uk.blackberry.com/ utapata bei za ukweli, kisha hata ukienda dukani huwezi kudanganywa!
 
hizo nizakichina kkoo zipo kibao mkuu ukipata za kwao toleo lakwanza zinakuwa nzuri sana yani
 
Mchina anatawala sasa soko la dunia kwa kila kitu na quality tofauti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…