Nahitaji huduma ya kutengenezewa website yenye subcription

Nahitaji huduma ya kutengenezewa website yenye subcription

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
Nahitaji huduma ya kutengenezewa website yenye subcription kwa gharama nafuu maana bado ni biashara changa
 
Karibu sana Dovex Technologies, Tutakutengenezea website bora kabisa with free domain name, Emails zaidi ya 50, Unlimited storage na ofa zingine kibao. Tafadhali tuwasiliane kupitia 0629266460.Karibu
 
+255 625 683 061

Mcheki huyu jamaa hapa hutojutia na anamiliki hosting mwenyewe so usimamizi wa kazi yako nzima atausimamia mwenyewe endapo utachukua na hosting kwake nimefanya naye kazi nyingi na za wateja wengi ni very professional
 
Back
Top Bottom