habar ndug wafugaj wenzang, polen na changamoto za maisha ya ufugaj, kama mada inavyojieleza hapo juu kwa wakazi wa handeni-tanga naomba kwa anaetoa huduma ya kutotoresha mayai aina zote bac tuwasiliane kupitia no. 0695049598.
(AWE NI MKAZI WA HANDENI)