Nahitaji huduma ya nutritionist

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
Kwa yeyote anayemjua Nutritionist mzuri hasa wa watoto.
Msaada tafadhali.
 
Sijajua mahali ulipo.Ila kwa huku Songea kuna mtaalam anatibu kwa njia ya chakula.Unalipia ushauri na vipimo(0765608067)
 
Kwa yeyote anayemjua Nutritionist mzuri hasa wa watoto.
Msaada tafadhali.

Mkuu Jinalako

Bila kujali unapatikana sehemu gani ya Tanzania na mtoto ana tatizo la aina gani, madamu tu ni suala la LISHE (NUTRITION), VIRUTUBISHO vifuatavyo ni TIBA MBADALA kwa matatizo yoyote yanayomsumbua mtoto, labda kama ni ya KISHIRIKINA! Napendekeza uvipe kipaumbele (uvitumie).

SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL na RED YEAST COFFEE

1. Splina Liquid Chlorophyll

Imetengenezwa kutokana na mmea wa “Mulberry ” unaotambulika kama chanzo bora cha “Chlorophyll”.

Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya”.
- Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.

Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)

Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

“Splina” Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:

Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.

Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances

Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.

Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.

Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous membrane
and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.

Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell, muscles,
tendons and ligaments.

Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.

Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of hormones and
cholesterol.

Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol

Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and bones.

Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.

Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity of heartbeat

Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.

Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction

Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.


Faida za kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng’enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.


Nani anatakiwa kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”

  • Watu wenye matatizo ya moyo
  • Watu wanao toka jasho sana
  • Watu wenye matatizo ya Ini
  • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
  • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
  • Watu wenye upungufu wa damu
  • Watu wenye ngozi iliyo pauka
  • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
  • Watumiaji wa pombe na sigara
  • Watu wasiopenda kula mboga za majani
  • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
  • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
  • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
  • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
  • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
  • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
  • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
  • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)


2. Red Yeast Coffee

Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damu”lehemu”(Bad Cholesterol)

Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast

  1. Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na “triglycerides”.

  1. Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)

  1. Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).

  1. Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).

  1. Inaboresha mmeng’enyo wa chakula.


Virutubisho vifuatavyo ni msaada kwa watu wazima, Splina Liquid Chlorophyll na Red Yeast Coffee zikiwa ni moja wapo.

3. SHAKE OFF Phyto Fiber

Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin n.k) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.

Faida za Shake Off

  • Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhala kwa mtumiaji.
  • Ni njia ya haraka, salam, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
  • Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
  • Inapunguza uzito uliozidi na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
  • Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.

4. Kahawa ya Ginseng:
Faida za kahawa ya Ginseng


  1. Inaboresha akili na kumbukumbu.
  2. Inakuweka katika hali ya kuchangamka.
  3. Inaongeza umakini na uwezo wa kuona na kusikia
  4. Inaongeza nguvu mwilini.
  5. Inaondoa mafuta mabaya (bad cholesterol).
  6. Inashusha presha ya juu.
  7. Inaongeza nguvu ya kujamiiana.

5. MRT (MEAL REPLACEMENT THERAPHY) COMPLEX - CHAKULA MBADALA

FAIDA ZAKE


  1. Inaunguza mafuta na kupunguza utengenezwaji wake mwilini
  2. Inavunja vunja mafuta mwilini na kwenye mishipa ya damu
  3. Inasafisha Ini & Figo
  4. Inafaa kwa wenye kisukari
  5. Inasaidia mwili kunyonya virutubisho vya lishe
  6. Inaupa mwili nguvu wakati wote wa “diet”.

Naamini maelezo haya yatakua msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…