hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Jaman nimefungua Duka la simu sasa naitaji Ile midoli ya simu ambayo inakuwa ni kama simu sema uwez kuweka line tu
Inakuwa easy kumpa mteja aangalie the way simu anayoitaji ina specifications gani
Naitaji hasa hasa ya Samsung note 8, Note 9 na samsung tab sm t865
Mtu mwenyewe nayo please nidm
Inakuwa easy kumpa mteja aangalie the way simu anayoitaji ina specifications gani
Naitaji hasa hasa ya Samsung note 8, Note 9 na samsung tab sm t865
Mtu mwenyewe nayo please nidm