Nahitaji ile shoo ya mbele ya Toyota NADIA

Hakuga

Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
29
Reaction score
31
nahitaji ile shoo ya mbele ya toyota nadia inayofanana na hii pcha.. . mwenye nayo naomba aniuzie... hilo eneo jeusi lenye alama ya toyota.

 
sio mbaya nielekezwe mkuu
fika lile jengo la machinga complex kwa mbele fanya kama unarudi juu hv kama waelekea ilala bungoni kuna mtaa wa kwanza wa zizzou utauvuka mtaa wa pili wa pemba utavuka kuanzia mtaa wa tatu duka la kwanza limeandikwa Ngosha mitaa io izi grill huwez kosa
 
nashkur sana mkuu .. ngoja nifuatilie kama ntapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…