Nahitaji iphone 4

Nahitaji iphone 4

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,133
Mwenye kujua wapi naweza kupata iphone 4 ya 16GB ani pm nataka mpya ..
slightly used sijui used from Gongo la mboto sizitaki
 
naunza iphone 4 mpya kabisa bei Tshs 1,400,000/=...kama utafika bei tuwasiliane.
 
Kama uko tayari kutoa 1.4 million kwa ajili ya IPHONE 4 let me know......
 
@tzjaman du! Hapo ni eBAY sasa!cpat pcha!
 
Hii wakuu nisaidieni kujua IPHONE 4 inafanya kazi na mitandao gani ya Tanzania?
 
Hii wakuu nisaidieni kujua IPHONE 4 inafanya kazi na mitandao gani ya Tanzania?

we hujui unataka nini... yaani unauliza swali linaloonyesha hujawahi kuwa na simu..iphone 4 and the like ni simu kama simu zingine tu...the only difference ni kuwa inatumia micro sim card
 
Back
Top Bottom