RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,220
Nipigie najua 0714074040Habari wanabodi? kama kichwa cha badiko hili kisemavyo, nahitaji Iphone 6 plus.
Bajeti yangu ni Tshs 400,000/=
kama kuna mtu anajua chimbo linalouza simu za Iphone kwa huku K/KOO naomba nifahamishwe wakuu.
Nawatakia wikendi njema na pia Karibuni kwa michango.
Skuizi aziitwi iphone 6 plus ni Tecno janja
Maana ata wauza chips waliokua wana dharauliwa wanazo, makonda wa daladala wanazo, mama ntilie wanazo so wengine wameenda far wanamiliki iphone 8 mpk x
Habari wanabodi? Kama kichwa cha bandiko hili kisemavyo, nahitaji Iphone 6 plus. Bajeti yangu ni Tshs 400,000/=
Kama kuna mtu anajua chimbo linalouza simu za iPhone kwa huku Kariakoo naomba nifahamishwe wakuu.
Nawatakia wikendi njema na pia karibuni kwa michango.