Duh kweli ile Project inalipa aisee
hivi hizi ndo wanazosikiliziaga mziki eee?
Ninayo touch ya 16gb,mint used na inakaa na charge wiki ila kama ni nonstop uses basi inakaa siku tatu na ukicharge inajaa ndani ya nusu saa,bei ni laki na nusu taslimu kama utaweza- 150,000/=
Is it new? Kama yes chukua 130,000
Mint used mkuu,nakupa n'a charger yake original so bei haipungui mkuu!!
mkuu mtusaidie sie wakulima i pod ndo za mziki?mi sielewi