Habari kaka nashukuru kwa maelezo yako..
Kwa upande wangu na shauri ungeagiza direct kutoka alibaba Wanazo za kila aina na pia wapi maagent wa kitanzania ambao wapo China wanakusafirishia kwa njia ya salama bila ya shida yoyote,,
Laa kama unahisi itakuwa tabu na nzunguko nenda mnazi mmoja kwenye maduka ya vifaa vya kilimo yupo mdosi anazo itategemea na capacity unayo taka ila kipindi nilivyoulizia zipo za mil 4 na nyengine 7mil ila unaongea nae.
Naimani nimekupa mwanga kidogo