nahitaji jezi

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
993
Reaction score
1,343
wakuu mimi ni shabiki wa valencia cf ya palee spain tatizo kubwa nalopata ni wapi nitapata jezi yake ..kama kuna mtu anajua duka coz kwa hapa mwanza nimekosa
 

Attachments

  • rodrigo-moreno-of-valencia-cf-runs-with-the-ball-during-the-la-liga-picture-id881149368.jpg
    26.3 KB · Views: 36
  • rodrigo-moreno-of-valencia-celebrates-sowing-the-opening-goal-during-picture-id1010815362.jpg
    22.3 KB · Views: 25
  • wp2506640-valencia-cf-wallpapers.jpg
    46.8 KB · Views: 26
Kama una bajeti nzuri nenda Dar es Salaam kaonane na Kalumbilo na uzuri hata humu JF yumo yeye huwa anafanya biashara ya clearing and forwarding
 
Kama una bajeti nzuri nenda Dar es Salaam kaonane na Kalumbilo na uzuri hata humu JF yumo yeye huwa anafanya biashara ya clearing and forwarding
aisee haiwezi ni cost sana?
 
Agizia tu online kama unataka Og . Ila kama unataka tu ya kuvaa kkoo zipo kibao
 
Mimi hii jamani nitaipataje na ni sh. Ngapi? Kiukweli kwa sasa dunia nzima hakuna jezi ya michezo Kali kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…