Nahitaji jibu

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
613
Reaction score
313
TENDE:

Tende hii maalumu yenye utamu Wa shani, Tende hii tafauti nazile zamadukani, Tende hii si adimu imejaa mitaani, wazee hadi vijana wote wanaithamini, kwayule alojaaliwa anaimiliki ndani, kwaasiye jaaliwa hudaka zamajiani, ata watoto watundu huila Vichochoroni, jinsi ilivyo tamu kuikosa hutamani, utapandwa nawazimu uitiapo kinywani, kama simvumilivu kelele kwa majirani, huku ukitabasam namiguno yarohoni..

Daah! Hii ni tende gn jaman?

Naomba Jibu..,.
 
pele mmu or jf tuna mengi ya kujadili hapa
 
hio sio tende, na tende haifanani...
Sio kwa utamu, sura wala kwa jina..
 
Mmh mambo ya rusharoho wataka upewe jibu gani....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…