selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 463
- 634
Bei gani hii Dukani
6000 bei ya maduka ya jumla ..mangi shop elf 7 mpaka 8,500BE
Bei gani hii Dukani
yakike, baadhi ya wamama wa kaiarabu huitumia pia.
Tafuta hela wewe,body spray ni kw ajili ya matumuzi ya chooni.Hello JF members....kama heading inavojieleza,Nipo shop moja kubwa ya cosmetics hapa mjini right now, nataka nunua Body spray ...je unanishauri ninunue spray ipi kali yenye manukato mazuri?karibuni..
Nunua eternal royale fake yake 40000 mpaka 60000 OG yake 200000+ kutegemea na mmlHello JF members....kama heading inavojieleza,Nipo shop moja kubwa ya cosmetics hapa mjini right now, nataka nunua Body spray ...je unanishauri ninunue spray ipi kali yenye manukato mazuri?karibuni..
Hello JF members....kama heading inavojieleza,Nipo shop moja kubwa ya cosmetics hapa mjini right now, nataka nunua Body spray ...je unanishauri ninunue spray ipi kali yenye manukato mazuri?karibuni..
Yakike alafu baadhi ya wamama hutumia.....!!!!yakike, baadhi ya wamama wa kaiarabu huitumia pia.
Zinapatikana wapi hapa mjin? Na bei yake?Kama upo duka kubwa basi waombe ushauri wao watakuwa na msaada zaidi...
Hapa tutakutajia majina ya products ambazo huenda zisiwepo hapo...
Otherwise jaribu hii, L'Oreal Men Expert Carbon Protect au L'Oreal Men Expert Black Mineral au Old Spice Whitewater
Thanks! BeiEleganceExpress maeneo ya Kijitonyama, ilipo petrol station ya Barrel makutano ya Kijenge Rd na Mabatini Rd...
Pia kuna jamaa wanaitwa Homecollectionz, wapo town maeneo ya ilipokuwa DTV zamani mtaa wa Sewa...
ya kiume sorry
Bei yake ngapi hii mkuuKama upo duka kubwa basi waombe ushauri wao watakuwa na msaada zaidi...
Hapa tutakutajia majina ya products ambazo huenda zisiwepo hapo...
Otherwise jaribu hii, L'Oreal Men Expert Carbon Protect au L'Oreal Men Expert Black Mineral au Old Spice Whitewater
Mfano sasa natumia Cool Water Body Spray na Black Mineral Roll-On baada ya Old Spice, Carbon Protect kuisha...
View attachment 2206471
Bei yake ngapi hii mkuu