Nahitaji jukwaa nifanye stand up comedy

Nahitaji jukwaa nifanye stand up comedy

yofre

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
213
Reaction score
261
Ni kijana wa chuo mwaka wa kwanza
Nimejihusha kwenye comedy hii
Nilifanya siku moja chuoni kila mtu aliipenda
Kwa sasa nimeamua kuingia moja kwa moja katika comedy hii
Kila siku najifunza vipya kutoka
Kenya
Nigeria
Marekani
Hapa Tanzania kwetu
Kwa sasa najiona nipo vizuri
Tatizo ni bado mdogo sana ,sijulikani,sijui hata stage nitaipata wapi,

Natamani atokee mtu yeyote anisapoti kwa hili
Nina imani ataipenda kwakweli
Nipo creative na hii sanaa
Nina jokes nyingi
Sina sapoti
Au kama kuna pati yeyote niitwe nafanya hata bure ili unione
Ukinisapoti wewe Nina uhakika na faida utapata kwa hili

Jaribu kunisapoti utaipenda kwakweli

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya sasa aaah wabongo bwanaaaaa

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Nakutakia mema kwenye safari yako hii..nafanya graphics,najitolea kukutengenezea posters na picha zitakazokudaidia kuweka ads kwenye mitandao ukawa wa kisasa zaid,nitakufanyia bure kabisa....fanya utupostie tuone kipaj,naamin kuna weng watajitoa kukupush
 
Sahihi mkuu
Najiandaa kukutafuta mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom