Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Unapendelea ku-hang out maeneo gani?
unatokea wapi, huenda nipo huko utokako tuanze kupeana company huku
:thinking:
una shugulika na nn kwa sasa?
Uliyeuliza kuhusu kuolewa: sidhani kama hilo ni la muhimu sana so liache wazi
Kuhusu umri: hata hili sidhani kama lina shida kwani swala hapa ni kampani tu, ina maana wewe ili uwe karibu au umpokee mgeni ni lazima awe na umri fulani?okay...umri wangu unarange from 25-28 saa hapo utachanganua mwenyewe
In short sibagui yeyote atakayejiskia kunipa kampani kama rafiki kwangu mie itakuwa sawa tu, nitafurahi kama mkiwa wengi na mchanganyiko wadada na wakaka......
cartura best uko dsm au?
Mimi sipendi kukaa maeneo yenye kelele may be ninapokuwa disco tu,kama ni bar basi wasiwe wanapiga mziki kwa sauti kubwa,, beach, na maeneomengine tulivu na yenye upepo mwanana
Hebu niambie kwanza wewe uko wapi alafu nitakuambia kama ndipo nilipo au lah
Mhhh jaman kumbe natakiwa kumwaga CV? yani kampani tu ya cku mbili tatu mpaka CV inaombwa mhh
Ha ha haa, I can be anywhere si unajua tena dunia ishakuwa kijiji ?, Sembuse Tanzania moja.. Kwa dakika hii nipo latitude na longitude ila kesho sijui takuwa wapi labda huko ulipo3° 22' 0" S / 36° 41' 0" E