... may be ninapokuwa disco tu,kama ni bar basi wasiwe wanapiga mziki kwa sauti kubwa....
umeolewa au la?
una shugulika na nn kwa sasa?
poa. umli wako?
jamani kaomba kampani tu,hajasema anatafuta mchumba.
umeolewa au la?
una shugulika na nn kwa sasa?
poa. umli wako?
Shem,bado hatujaweza kukubali kuwa watu wa jinsia tofauti wanaweza kuwa na mahusiano ya kawaida bila kuhusisha mapenzi.Aibu sana!
ndio maana nakudondokeaga kapteni....
halafu wanaoanza kuwaza mambo mengine mbali ya urafiki wa kawaida ni nyie
...Yaani mdadaukifurahia tu kampani ya mkaka ukawa unamuomba muwe mnahang pamoja mwenzio tayari anaanza kuwaza kuwa unamtaka kimapenzi.
jamani kaomba kampani tu,hajasema anatafuta mchumba.
jamani kaomba kampani tu,hajasema anatafuta mchumba.
Utapenda kwenda morogoro kama sehemu yenye hewa tulivu?
Utakuwa saa ngapi air port nije nikupick?
Sipo katika site hii kila siku unaweza kunipa email id sasa hivi
mrembo by artificial...naona unatokea Singida manyoni kwa washambaaaaaaaaa...karibu jiji la maraha kwa anayetaka...