Nahitaji kampani yako

Nilidhani its just normal company yaani kubadilishana mawazo (sasa hata hio mpaka CV) 😱hwell:


Fwatilia mjadala huko juu ulikoanzia, ndugu huyu mtu alipojua mie natokea mpendimbi basi akasema hana tym na wa mpindimbi, hata kama ni kampani ya kawaida nahitaji mtu ambae hana ubaguzi kwa misingi ya kijiografia, kidini, kirangi nk. mtu kama huyu hata kwa urafiki wa kawaida hanifai bwana
 
Okay ila na wewe ni mbaguzi.., unabagua wabaguzi..
 
mtungi..a.k.a ze kiki unapanda..uko tayari kuchangia gharama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…