Je kuna kampuni ambayo naweza kuja na bidhaa mfano viungo na wao wakawa wanazifungasha ili mimi nichukue kutoka kwao bidhaa iliyokamilika? Inaitwa Copacking kwa kiingereza maelezo link:
Tanzania hii biashara bado, ndiyo maana bado tuna shida sana ya vifungashio vya kisasa na ndiyo chagizo kuu la wafanyabiashara wadogo wa Bongo kushindwa kukua na kutoza soko la kimataifa.