Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Wanajamvi habarini za mchana, kama ambavyo kichwa cha mada hii kinasomeka hapo naomba kufahamu au mtu ambaye analijuwa kampuni lolote linaloweza kunisafirishia mzigo kutoka kwenye mataifa haya China na Marekani kuja Tanzania.
Naombeni na ushauri pia kwa wale wanaonunua bidhaa mtandaoni hasa kwa site ya Alibaba ambao wanauza jumla na mara nyingi wanataka waupeleke mzigo wako kwenye kampuni inayoleta mzigo Tanzania.
Pia kuna hii site ya Amazon wao pia mizigo mingi haiji Tanzania na ndio sababu ya kutafuta kampuni ninayoweza kutuma mzigo wangu kwao baada ya kununua ili wao waniletee Tanzania.
Natanguliza shukurani zangu za dhati nikijua hapa JF kuna watu wajuzi wa mambo haya.