Nahitaji karanga na mbaazi kwa mzigo mkubwa

Nahitaji karanga na mbaazi kwa mzigo mkubwa

Upo sehemu Gani?
Karanga Kwa gunia unatoa sh ngp? Mbaazi Kwa Kg 1 sh ngp?

Taarifa kama hizo ndo za muhimu
 
Vyote mm ninavyo lkn ujasema unanunua shiringi ngap per 1 kilo na izo mbaazi na karanga unataka gunia ngap
 
Nicheck Dm tubonge dili mzigo upo wa kutosha
 
Taja bei wengine tunazo mkoa ila hatuwez safirisha maana madalali mmezoea kutupanga na bei zenu.
Mbaazi kama una 3000 nicheck walau Nina tan 10
 
Back
Top Bottom