Wakuu wenye karatasi zile za A4. Nahitaji ambazo zimetumika. Inaweza kuwa past paper, au group assignment paper. Nahitaji nyingi hata kama una kilo 100 ni Pm.
Dear HR kama unabarua nyingi ofisini kwako ni pm. Msizichome moto tufanye biashara. Hata ofisi yoyote ambayo mmepokea application letter hizo nahitaji bado.