M mkabaroho JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 300 Reaction score 373 Jul 16, 2014 #1 Jamani nahtaji kasuku wa kununua ila wawe wale wakubwa kama wanaopatikana congo au brazili...kama kuna mwenyenao aniPM
Jamani nahtaji kasuku wa kununua ila wawe wale wakubwa kama wanaopatikana congo au brazili...kama kuna mwenyenao aniPM
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Jul 16, 2014 #2 Nyara za serikali au hapana?
M mkabaroho JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 300 Reaction score 373 Jul 16, 2014 Thread starter #3 Sijui kama ni nyara...labda unielimishe mimi huwa nawapenda tu.