Nahitaji kazi ya Tax Accountant - Mwanza

Nahitaji kazi ya Tax Accountant - Mwanza

Mkame_

Member
Joined
Aug 8, 2020
Posts
11
Reaction score
21
Habari wakuu, naamini JF ina watu muhimu na makini sana kwa nchi hii.

Mimi nafanya kazi katika Auditing firm hapa dar es salaam kama Tax Accountant, lakini pia nafanya external Audit maana ukiwa firm ndogo unafanya majukumu mengi zaidi.

Kwasababu za kifamilia nalazimika kuwa Mwanza.

Hivyo nipo mbele yenu kuomba kazi Mwanza.

Elimu: BSc. Taxation - IFM, CPA (in progress Intermediate).

Experience : 2 years (Auditing Firm, 5 months bank)

Post : Accountant, Tax Consultant, Auditor

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom