Nahitaji kibali cha kufunga fire extinguisher na vitu kama hivyo

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,265
Reaction score
12,268
Hello wadau!

Kwenye uelewa wa hivi vitu naomba anipatie Muongozo.

Asante
 
Boss Lady.
Sina connection ya fire extinguisher lakini jina vyeti kibao vya OSHA kabatini.

Karibu PM tuyajenge kwa connections nyingine za biashara.
 
Hello wadau!

Kwenye uelewa wa hivi vitu naomba anipatie Muongozo.

Asante
nenda ofisi yoyote ya zimamoto na uokoaji iliyokaribu yako utapewa fomu ujaze kuomba kua fire dealer wao watakupa vigezo vinavyotakiwa Ila sharti ni wewe mwenyewe uwe umesomea mambo ya zimamoto au uwe na permanent staff alieyepata mafunzo hayo
 
Fire wanato training zake kwani ni rahisi kupata certificate na ukishapata ni rahisi kupata unachohitaji
 
Back
Top Bottom