Nahitaji Kidney Beans kwa wingi

Besh_uni

New Member
Joined
Sep 14, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Habari za asubuhi wakuu. Nahitaji Kidney Beans kwa wingi.



Mfanyabiashara au mkulima mwenye kidney beans ile kubwa anicheki tufanye biashara. Iwe safi na nene.

Kwa kuanzia inahitajika tani 60, ila yakiwa bora basi tunaendelea kufanya biashara kwani tunahitaji zaidi ya tani 200.

Naomba ofa yako na eneo ulipo kwani tutafuata mzigo wenyewe.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…