Mifugo ipi?Kijana alietayari ajitokeze, maeneo ni mkoa wa Dodoma, ipo mifugo michache ya kuhudumia. Umri ni Kati ya 18 na 20. Mwaminifu na anaejituma. Malipo ni maelewano. Weka namba yako hapa nitakupigia au njoo inbox, pia waweza tuma sms kupitia 0764257303 utajibiwa.
Kuna mdogo wangu anataka kazi hiyo KakaKijana alietayari ajitokeze, maeneo ni mkoa wa Dodoma, ipo mifugo michache ya kuhudumia. Umri ni Kati ya 18 na 20. Mwaminifu na anaejituma. Malipo ni maelewano. Weka namba yako hapa nitakupigia au njoo inbox, pia waweza tuma sms kupitia 0764257303 utajibiwa.
mdogo wako au wewe mkuu?Kuna mdogo wangu anataka kazi hiyo Kaka
Weka namba zake hapaKuna mdogo wangu anataka kazi hiyo Kaka
Hupatikani mkuuBado mkuu