Nahitaji kijana wa kuhudumia shamba la Nguruwe Dodoma

Nahitaji kijana wa kuhudumia shamba la Nguruwe Dodoma

Agenda1

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
1,695
Reaction score
3,412
Shamba liko nje kidogo ya Dodoma, ndio limeanzishwa. Malipo tutazungumza. Piga 0789464641. Wadau pia naomba tujuzane kama unamfahamu kijana mwaminifu na mwenye uhitaji.
 
Shamba liko nje kidogo ya Dodoma, ndio limeanzishwa. Malipo tutazungumza. Piga 0789464641. Wadau pia naomba tujuzane Kama unamfahamu kijana mwaminifu na mwenye uhitaji.
Mkuu nipo tayari tufanye kazi.
 
Back
Top Bottom