Nahitaji King'amuzi cha Azam Used

Nahitaji King'amuzi cha Azam Used

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu.
Mwenye king'amuzi cha azam used tuwasiliane hasa kama upo Dar au Kibaha

Simu 0713-039 875
 
Kiukwel saiv inatubidi tu tununue used mana vipya bei kila siku inapaa soon tutambiwa laki 3.
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Back
Top Bottom