tajiri mwenzangu,
TAJIRI MSOMI, hapa
JamiiForums unawasumbua tu Wazalendo, mtu ana chumba kimoja, jiko humohumo, dining humohumo na kopo la kukojolea limo humohumo, muda wa kununua na kuhifadhi kotabu aupate wapi?
Umetaka pdf, kwanini tu usiende Amazon, bei poa kabisa?