Subiri mkuu, hili jukwaa huwa linasomwa na watu wachache sana, tena mara nyingi usiku pindi watu wanapokuwa hawana cha kufanya.
Ungekuwa mjanja, hii mada yako ungeipachika kwenye jukwaa la "Hoja na Habari Mchanganyiko". Kule waingiaji ni wengi, hivyo angepata wachangiaji wengi na wa haraka katika uzi wako, na pengine saa hizi ungekuwa ushapata jibu kama kuna mtu anacho nk.