Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Hakuna sehemu ambayo maji ni shida kama buswelu.Nahitaji kiwanja Buswelu,mwanza kwa bajeti tajwa hapo juu.
Asante
Kuwa makini sana Mwanza kumejaa matapeli wanaolindwa na mfumo. Utaibiwa hiyo pesaNahitaji kiwanja Buswelu,mwanza kwa bajeti tajwa hapo juu.
Asante
Naelewa Sana.Kuwa makini sana Mwanza kumejaa matapeli wanaolindwa na mfumo. Utaibiwa hiyo pesa
Wapi huko chiefUkija dar nitafute kuna kiwanja karibu na mji
MwasongaWapi huko chief