Nahitaji kiwanja kwa Mil 5 Dar es Salaam

Nahitaji kiwanja kwa Mil 5 Dar es Salaam

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
61
Reaction score
94
Wakuu,

Nina shida ya kiwanja kiwe kuanzia maeneo Maramba, Salasala kuelekea Bunju au Kibamba ila kusiwe ndani ndani sana.
 
 
Kiwanja cha milioni 5 unapata Dar es salaam.

Muhimu uwe makini tu. Mwanasheria mpe laki 2 awepo kwenye hayo manunuzi.

Na wewe mwenyewe utenge laki 2 ya uchunguzi mkali wa kiwanja utakachouziwa. Peleleza kwa majirani kila mmoja kwa muda wake. Mjumbe wa mtaa, mwenyekiti kuhusu ukweli wa kiwanja hicho.


Ukijilizisha ndio ununue
 
Nenda chanika achana na hayo maviwanja ya goba kwanza hata ujenzi wake unagharama sana
 
Wakuu,

Nina shida ya kiwanja kiwe kuanzia maeneo Maramba, Salasala kuelekea Bunju au Kibamba ila kusiwe ndani ndani sana.
Ongeza Hela kidgo, nikupe kiwanja Machimbo, 15 to 20 minutes from Magufuli terminal. Mji umejengeka, kina Mita 17 kwa 17. Ukiw serious tunaweza wekakataba ulipe kwa installment, tema msimu wa mvua njoo ukikague

Karibu
 
Ongeza Hela kidgo, nikupe kiwanja Machimbo, 15 to 20 minutes from Magufuli terminal. Mji umejengeka, kina foot 20 kwa foot 20. Ukiw serious tunaweza wekakataba ulipe kwa installment, tema msimu wa mvua njoo ukikague

Karibu
Eneo linaitwaje mkuu? na ukubwa wake upoje?
 
Back
Top Bottom