Nestory Westone
Senior Member
- May 13, 2015
- 154
- 116
Karibu nikuuzie
Zingatia code MMILIKI SIO DALALI
Wamiliki wa hayo maeneo hawana muda wa kuperuzi matangazo madogo madogo online!Zingatia code MMILIKI SIO DALALI
Masharti kibao...bajeti yako ikoje? Tuanzie hapo kwanzaMoja kwa moja kwenye mada husika.
Mwenye kiwanja kuanzia Ubungo hadi Mbezi Louis au kuanzia Mbezi Beach hadi Bunju B au kuanzia Mbezi Beach hadi Mbezi Louis kupitia Goba aweke taarifa hapa nitamcheki.
Zingatia:
(i) Kiwanja kisiwe umbali wa zaidi ya mita 200 kutoka barabara kuu ya lami.
(ii) Kipimo kiwe kuanzia mita 10 kwa 10 na kuendelea.
(iii) Kiwanja kiwe kinafikika kwa gari(barabara iwepo).
(iv) Muuzaji awe mmiliki sio dalali.
Masharti kibao...bajeti yako ikoje? Tuanzie hapo kwanza