Nahitaji kiwanja Mbweni

Nahitaji kiwanja Mbweni

Wakuu huku jamii forum nahitaji kiwanja mbweni yoyote ile bajeti yangu ni million 60 ila Samahani ningependa sale ya buyer to owner niwavuke kidogo madalali.. namba n i 0612630936
Mkuu njoo tukae mezani tuongee...nina kiwanjaa Mbweni
asking price 110m.
hakuna udalali tunaweza zungumza 0621973591
 
Back
Top Bottom