Nahitaji kiwanja, msaada tafadhali

Ushauri: Tunza hela uje kununua kiwanja muda wa mvua kubwa ili uone uzuri na ubaya wa eneo.
 
Kuna eneo linauzwa kiluvya madukani 20*20 Bei ml 3
 
Kwa hiyo pesa yako nakushauri nenda Kibaha Maili Moja. Kuna eneo nilimnunulia sister yangu Kiwanja kwa Bei poa Sana. Havijapimwa bado na hakujajengeka Sana Ila watu ndio wanakimbilia uko kwa Sasa. Nauli ni 2000 kwa bodaboda toka Loliondo au Maili Moja. Nilimchukulia 30/30 kwa 1.7 M
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…