Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Wakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8?
Nataka nihamie Mwanza
Nataka nihamie Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...labda wilaya ya misungwi na magu .....Wakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8?
Nataka nihamie Mwanza
Duh haya bwana, mwanza viwanja cha bei ndogo ni 4milWakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8?
Nataka nihamie Mwanza
Nasikia uko milimani Serikali inampango wa kuhamisha wanaishi wanaoishi millimanNenda milimani uko..muone mwenyekiti wa mtaa atakupa eneo pemben ya jiwe